VIMINI VYAMZUIA DIDA KUFANYA KAZI IKULU
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa kupitia Radio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa kamwe hawezi kufanya kazi Ikulu kutokana na vimini anavyovitinga.
Akizungumza na Amani, Dida, alisema kuwa anafurahia sana kazi anayofanya kwa sababu inamruhusu kuvaa nguo yoyote anayojisikia vikiwemo vimini.…
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa kupitia Radio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa kamwe hawezi kufanya kazi Ikulu kutokana na vimini anavyovitinga.
Akizungumza na Amani, Dida, alisema kuwa anafurahia sana kazi anayofanya kwa sababu inamruhusu kuvaa nguo yoyote anayojisikia vikiwemo vimini.
www.2dayhabari.blogspot.c
0 comments: