TAMASHA LA FIESTA 2014 LAWA GUMZO MKOANI TANGA


Vanessa mdee aka.v-money akiimba jukwaani huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa

Barnaba boy akiimba juu ya jukwaa la fiesta ndani ya uwanja wa mkwakwani mkoani tanga mwishon mwa wiki

wadau nao walikuwepo kupata selfie ya glob ndani ya jamii ndani ya fiester

Linah akilinogesha jukwaa la fiesta na wimbo wake wa ole temba.



















WWW.habaritoday.blogspot.com
0 comments: