MCHEZAJI BORA WA ULAYA NI CHRISTIAN RONALDO

Busu kwenye tuzo:Nyota wa ureno na real madrid,christiano ronaldo akibusu tuzo ya mwanasoka bora wa ulaya baada ya kukabidhiwa usiku wa leo mjini monaco,ufaransa
christiano ronaldo akifurahia ana tuzo yake
Ronaldo(katikati)akifurahia baada ya kushinda ,kushoto ni wachezaji wa beyern munich,kipa mjeruma manuel neuer na winga mholanzi Arjen Robben kulia
0 comments: