Wednesday, September 3, 2014

AFISA USALAMA FEKI,SILAHA ZAKAMATWA NA POLISI


Baadhi ya silsha zilizo kamatwa na jeshi la polisi


Kamanda suleiman kova akionyesha zilizo kamatwa na wanahabari(hawapo pichani)



Baadhi ya wanahari wakimsikiliza kamanda kova,.
Jeshi la polisi kanda maalum ya dar es alam linamshikilia mtu mmoja anaye fahamika kwa jina la gunner meena 40 ,mkazi wa kinyerez dar es salam kwa kujifanya mtumishi waidara ya usalama wa taifa

Tukio la mwisho lililomfanya akamatwe ni pale alipomtishia mfanyabiashara mwenye asili ya kisomali aitwaye abdi dalmari iliampe shilling 25,000,000/=ama sivyo angechukua hatua ya kisheria chini ya usalama wa taifa.

Ama jeshi hilo katika kuendesha opareshen za kutokomeza ujambazi wa kutumia silah limefanikiwa kukamata bastola nne na short gun moja wiki hii

0 comments: