Wednesday, September 3, 2014

ROSE NDAUKA ASEMA UCHUMBA WAKE NGANGARI


Story na gldness mallya
Mwigizaji nyota wa flamu, Rose ndauka ameikubali na kukanusha vikali uvumi uliozagaa kua uchumba wake na mallick Bandawe umevunjika na kusema sio kweli kwan bado upo ngangari kuliko kawaida.


Mwigizaji nyota wa filamu,Rose ndauka akipozi
Akistorisha juzi kati mwigizaji huyo anayeishi na mchumba wake alikanusha kua uvumi huo hauna msingi wowote kwasababu usiku wa siku ya (juma tatu)alikua amemnyooshea nguo alizokua amevaa wakati akielekea kazini kwake.

0 comments: