DANNY WELBECK ATUA ARSENAL

Kocha arsene wenger amefanya jambao la maana baada ya kutatua katika safuyake ya ushambuliaji baada kukubali kumsainisha kwa paun million 16 mshambuliaji wa england danny welbeck
Kocha huyo arsene ,alikua italia akithibitisha kucheza mechi ya hisani ameonyesha hisani inaanzia nyumbani baada ya kuwapiga bao spurs kwa kumsain mshambuliaji huyo wa manchester united.
Welbeck anayeondoka manchester united baada ya kushindwa kumvutia kocha wa manchester unite louis van gaal tangu mholanzi huyo awasili msimu huu awali alitolewa ka mkopo wa muda mrefu wa msimu kwa paun million 3.
Lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 akalazimishwa kuuzwa mojakwamoja akapate mwanzo mzuri wa kuisaidia arsenal kuilazimisha united kupunguza bei kutoka kwenye million 18 walizokua wakihija kabla ya mchezaji huyo kusai mkataba wa miaka mitano.
0 comments: