Monday, October 13, 2014

Miss Tanzania Mpya 2014 Kunani ? Watu Wadai Mshindi Alishapangwa Siku Nyingi ..Ukweli Upo Wapi?


Usiku wa Jana Pale mlimani City Palikuwa na Fainali za Mashindano ya Miss Tanzania 2014 na Taji likachukuliwa na Mrembo Sitti Mtemvu …
 
Leo Asubuhi Mitandoni zimejaa Habari Kuwa Miss huyo Kapendelewa na pia Hafai kutwaa Taji hilo na wengi wakilalamika ilikuwa imepangwa kwa kuwa baba yake ni mbunge…
 
Jamani Embu Tujuzeni kwa wanao jua ..maaana huko Insta ni Shida balaaaa…
 
Kwa Mfano Martin Kadinda Kaandika Hivi Instagram:
 
“Daaaaah… Anko Ludenga nakukubali Sana ila Kwa hili am not ur side!! sitti am not hating but Kwa upande wangu hapana.. I just wish u all the best Kwa majukumu yako And ukatuwakilishe vizuri may be unaweza kufanya mazuri Zaidi Ya waliopita ila Kwangu wewe hapana…. Ukimind poa ila sio wote huwa tunakubaliana na matokeo…. Matusi noo Kwa my page.. Ukitukana nakublock” 
 

0 comments: