Monday, October 13, 2014

KURINGARINGA KUNAVYOWAPONZA MABINTI.!!


maringo
Kuringa kwa wasichana wa kibongo ni athari za malezi.
Ulaya mtoto wa kike na kiume wanakua pamoja..
wanahug, wanakiss, wananasex but responsibly..
coz wanafundishwa elimu ya afya ya uzazi mapema.
Hapa kwetu binti akiwa na miaka 13 anaambiwa……,
‘Usicheze na wavulana ni mashetani wakubwa, na
ole wako tukukute na wavulana, utahama hapa
nyumbani’ Hapa binti anaanza kuwaona wavulana
kama viumbe hatari sana.!

Akiwa na miaka 20 wazazi wanamuambia ‘Kwa kweli
Sisi wazazi wako hatumpendi yule mvulana unaefuatana
nae’ binti anazidi kujiweka mbali na wanaume.. hapa
ndo anaringa balaa.
Akiwa na miaka 25 wazazi wanaanza ‘Vipi mama?
Kimya, hujatuletea mwenzio yoyote kututambulisha’
hapa ndo binti akifuatwa anadengua kidogo kumbe
anataka.
Akiwa na miaka 28 wazazi wanakuja juu ‘Wewe vipi
wenzio wote wameolewa.. unasubiri nini’ hapa ndo
kile kibinti kilichokua kinakuringia kinaanza kukutumia
vitext vya kipuuzi.. mara mambo, mara nimekumiss..
umenimiss my foot??
Akiwa na miaka 30 wazazi wanasema ‘Tumeshakuonya
acha kuchagua wanaume.. we vipi?’ binti anapanick..
anatamani kuolewa lakini alisharingaringa sana.
Akiwa na miaka 33 wazazi wanamuita kwa mazungumzo
‘Kuna mzee mmoja
kule Sumbawanga tumesikia anaweza kuondoa nuksi,
twende tukupeleke’ binti anaanza kuwaza kuvuta mume
kwa tunguri wakati aliringa mwenyewe.
Akiwa na miaka 38 wazazi wanamuita tena “Kuna Mchungaji
Mabibo wanasema ukifunga wiki tu
unafunguliwa’ Binti anafunga na kuomba mara kubadilisha
makanisa lakini hafanikiwi.
Akiwa na miaka 40 wazazi wanamuambia “kuna mzee
mmoja kafiwa na mkewe anatafuta mke wa kumpunguzia
mawazo.. unaonaje tukupe namba zake? Hata huyo ni
sawa tu.. usichague sana.. tufariji wazee wako tuone
japo kajukuu’
NB: GIRLS PLZ BE CARE.. KURINGA RINGA NI HATARI
KWA MAISHA YAKO,,,,,,, ME SIMOOOOOOO

0 comments: