Stori: Deogratius Mongela
Wasanii mbalimbali wa filamu Bongo wameipongeza Rasimu ya Katiba Mpya
iliyokabidhiwa hivi karibuni kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Jakaya Kikwete, mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar Ali Muhammed Shein wakiwa na Rasimu ya Katiba Mpya waliyokabidhiwa hivi karibuni, mjini Dodoma.
Wakizungumza na paparazi wetu kwa nyakati tofauti, wasanii hao walisema katiba…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar Ali Muhammed Shein wakiwa na Rasimu ya Katiba Mpya waliyokabidhiwa hivi karibuni, mjini Dodoma.
Wakizungumza na paparazi wetu kwa nyakati tofauti, wasanii hao
walisema katiba ya sasa imeleta mapinduzi makubwa katika tasnia ya
filamu hapa nchini kwa kuweka vipengele ambavyo vimewathamini.
“Kwetu ni jambo kubwa kuona serikali yetu imeanza kutambua mchango
wetu kwa kuweka vipengele katika Rasimu Mpya ya Katiba hii inaonyesha ni
jinsi gani tutaweza kupata mafanikio pia itatuwezesha kupambana na wezi
wa kazi zetu na kutuongezea kipato,” alisema Flora Mvungi, mmoja wa
wasanii hao.
0 comments: