Tuesday, September 30, 2014

Zawadi ya Gari Aliyopewa Wema Sepetu Siku ya Kuzaliwa Yaleta Kizazaa, Wadada Wamjini Wamecharuka

Juzi ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mrembo Wema Sepetu, Kitu kilichovuta Hisia za Watu wengi ni zawadi ya Gari aliyopewa Wema Sepetu kutoka kwa Mpenzi wake Diamond Platnumz…Inasemekana huko mjini wadada wamechachamaa hawataki tena zawadi mchwara za maua , visimu ama saaa siku za sikukuu zao za kuzaliwa nao wanataka magari nao kutoka kwa Maboifriend zao.
Hili ni Tamko la Umoja huo wa Magelofurendi :

0 comments: