Tuesday, September 30, 2014

Kuachana kwa Jason Derulo na Jordin Sparks Kwamfanya Lulu Asiamini ‘Mapenzi’ Tena! By Mzee wa Udaku | September 30, 2014 0 Comments Kama uliumizwa au kushangazwa na kuachana kwa Jason Derulo na Jordin Sparks, basi hauko peke yake. Elizabeth Michael a.k.a Lulu, ni mmoja wa watu walioumizwa na kuvunjika kwa uhusiano wa wanamuziki hao wa Marekani ambao kwa wengi walionekana kupenda sana. “Guys u broke my heart too, I dnt believe in like n relations anymore, Ths pipo wr sooo in like…wat happened..!!?,” aliandika Lulu kwenye picha ya wapenzi hao aliyoiweka kwenye Instagram. Wakati ambapo Jordin Sparks bado hajazungumza chochote kuhusu taarifa za kuachana kwao, muimbaji huyo wa ‘Wiggle’ amezungumza tena kukanusha tetesi kuwa alimsaliti mpenzi wake. “Though I think it is a private matter and intended to keep my break-up Jordin personal, due to bogus and irresponsible lies being reported by insensitive media outlets it became necessary for me to comment,” Jason aliiambia ABC News Sept. 26. “I spent three fantastic years with Jordin and she is one of the most incredible people that I have ever met. But as in all relationships there are ups and downs and at this time we have decided to amicably part,” he said, echoing an earlier statement he made on Minneapolis radio station KDWB, claiming that “everything is cool” and that their breakup was not “a terrible situation. Infidelity, cheating or deceit played no part in our relationship or our break-up, and I hope that people respect our privacy as we go forward with our lives.” Related ItemsAsiaminiDeruloJasonJordinKUACHANAKwamfanyaLULUSparksTENA.....‘Mapenzi’

Kama uliumizwa au kushangazwa na kuachana kwa Jason Derulo na Jordin Sparks, basi hauko peke yake.

Elizabeth Michael a.k.a Lulu, ni mmoja wa watu walioumizwa na kuvunjika kwa uhusiano wa wanamuziki hao wa Marekani ambao kwa wengi walionekana kupenda sana. “Guys u broke my heart too, I dnt believe in like n relations anymore, Ths pipo wr sooo in like…wat happened..!!?,” aliandika Lulu kwenye picha ya wapenzi hao aliyoiweka kwenye Instagram.

Wakati ambapo Jordin Sparks bado hajazungumza chochote kuhusu taarifa za kuachana kwao, muimbaji huyo wa ‘Wiggle’ amezungumza tena kukanusha tetesi kuwa alimsaliti mpenzi wake.

“Though I think it is a private matter and intended to keep my break-up Jordin personal, due to bogus and irresponsible lies being reported by insensitive media outlets it became necessary for me to comment,” Jason aliiambia ABC News Sept. 26.

“I spent three fantastic years with Jordin and she is one of the most incredible people that I have ever met. But as in all relationships there are ups and downs and at this time we have decided to amicably part,” he said, echoing an earlier statement he made on Minneapolis radio station KDWB, claiming that “everything is cool” and that their breakup was not “a terrible situation. Infidelity, cheating or deceit played no part in our relationship or our break-up, and I hope that people respect our privacy as we go forward with our lives.”

0 comments: