Mchongo Mpya Alioupata Diamond Platnumz, Huu Unahusu Application ya Simu.
Ingawa hajaweka wazi namna dili hii
itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram,Diamond Platnumz
amepost picha ambayo imebeba maandishi yasemayo ‘Ningependa kukutaarifu
shabiki wangu pendwa kuwa kijana wako sasa ni balozi wa application mpya
iitwayo Mziiki’.
Hii ni application ambayo itatumiwa na
watu wenye simu za androad kusikiliza muziki huu ndiyo muonekano wake
utakapokuwa ume instal kwenye simu yako.
0 comments: