Mayweather WBA NA WBC MAIDANA HOI
Floyd Mayweather AMSHINDA Marcos Maidana na kubakiza mikanda yake katika uzito wa welterweight
Floyd
Mayweather anaendelea kuwa Bingwa wa mikanda ya WBA na WBC
welterweight Baada ya kushinda kwa points Dhidi ya Marcos Maidana huko
Las Vegas.
Ameendeleza ushindi wake wa mara ya tano bila kupoteza Mayweather’s ajapigwa katika mapambano 47 .
Katika kucheza kwake ngumi ilikuchukua Sekunde kadhaa katika maisha ya
miaka kumi nane na kucheza ngumi kijana huyu mwenye miaka 37-alipata
ushindi kutoka kwa majaji wote watatu
Katika Mzunguko wa nane, Mayweather alimshtaki Maidana kwa kung’ata malalmiko ambayo Raia huyo wa Argentine aliyakataa .
Tukio hilo lilitokea pale walipokuwa wakipambana katika kona ya ulingo .
Floyd Mayweather CV |
---|
Alizaliwa: 24 February 1977, Grand Rapids, Michigan |
Kama Bondia wa Ridhaa : Ameshinda 84 , Kapigwa mara sita . Ameshinda glove tatu za dhahabu . Medali za Shaba katika michuano ya 1996 ya Olympics |
Akiwa Bondia wa Kulipwa : 11 October 1996 |
Professional record: 47 Kashinda (26 KOs),Hajapigwa . |
|
“Tlukiwa tumekumbatiana na Sikuweza kugundua nini kilitokea ,”
anasema Mayweather. “Baadae nikaona kaning’ata . Baaada ya mzunguko wa
nane vidole vyangu viliumia , sikuweza kutumia mkono wangu wa kushoto .”
Majaji wawili waliamua mzunguko wa 12-kwa kunipa alama 116-111 na
mzunguzko wa Tatu nikapata 115-112 na kuwa Bingwa na hii ilikuwa nzuri
kwangu tangu nishinde kwa mfumo huo mwezi May.
Mayweather ameripoitwa kutwaa kiasi cha Dolla $ 32m (£19.6m) katika
pambanao hilo na katika masiha ya mchezo huio ameingiza kiasi cha zaidi
ya $ 100m (£61.5m) katika miaka yake mitano iliyopita .
Maidana, 31, ambae anaoneka kama angerudiana kwa mara ya tatu na
Mayweather, alihitaji kuongeza juhudi zaidi kama angeihitaji ushindi
0 comments: