MADRID CHALI YALAMBWA 2 -1 BERNABU
Atletico
Madrid imepata ushindi na kulipiza kisasi cha kufungwa na Real Madrid
katika ligi ya Mabingwa ulaya baada ya kuwafunga katika uwanja wao wa
nyumbani wa Santiago Bernabeu .
Mabingwa watetezi wa La Liga Atletico walipata Goli la kuongoza
katika Dimba la Bernabeu wakati Tiago alipofunga kwa kichwa kwa mpira
wa kona .
Cristiano Ronaldo,alifunga goli la kusawazisha akitokea kwenye majeruhi kwa penati , na kuifanya Madrid kusawazisha .
lakini Atletico, ambao walijitahidi kukabiliana na kelele za mshabiki
wa Real , walishinda mechi hiyo kwa goli lililofungwa na Arda Turan’s .
www.2dayhabari.blogspot.com
free website counter
0 comments: