Jux Akana Tetesi Kuwa Wimbo Wake Mpya Amemuimbia Vanessa Mdee Ambae Inasemekana ni Wapenzi
Mwanamuziki wa Bongo Flava Jux
Amezikana Tetesi kuwa Wimbo wake Mpya ‘Sisikii’ amemuimbia Vanessa Mdee
ambae inasemekana kwa sasa ni Wapenzi ,
Jux Ameambia Udaku Special kuwa Nyimbo zake zote alizowahi kuzitoa sio maalum kwa ajili ya mtu bali amezitunga tu na hazihusiani na Maisha yake,
Ikumbukwe pia wimbo Nitasubiri kulikuwa na Tetesi kuwa Amemuandikia Jack Cliff ambae yupo Jela Huko Makau China

0 comments: