Wednesday, August 27, 2014

UMOJA WA MACHIFU TANZANIA (UMT) WAWASILISHA MAPENDEKEZO YAO KUHUSIANA NA RASIMU YA KATIBA MPYA


Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu akiwaeleza jambo Wawakilishi wa Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) kuhusu mapendekezo yao waliyoyawasilisha kwake kwaajili ya Katiba Mpya.



Chifu John Nyanza (aliyekaa katikati) wa kutoka Magu akimueleza jambo Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu (kulia) juu ya uwasilishaji wa mapendekezo yao kwa ajili ya Katiba Mpya alipokutana naye kwenye Ofisi ya Makamu…



0 comments: