MWAKA HUU WANALO!MAN UNITED YAPIGWA 4-0 NA KITIMU CHA MCHANGANI GIGGS AANGUA KILIO BENCHI
Kocha louis van gaal ameendelea kuogelea katika bwawa la maji moto manchester united baada ya usiku huu kufungwa na mk dons ya daraja la kwanza mabao 4-0 katika michuano ya kombe la lig maarufu capital one
Mabao yaliyo mtia machungu van gaal leo yamefungwa na will griggs dakika yaa 25 na 63 na benik afobe anayecheza kwa mkopo kutoka arsenal dakika 70 na 83
Kocha msaidizi Ryan giggs alionekana kufuta machozi baada ya bao la tatu,akiwa kwenye bench na boss wake van gaal.
KIKOSI CHA MK DONS;Martin,baldock,kay,mcfadzean,lewington,carruthers,potter,reeves,Alli,Bowditch and grigg
Sub,.Green,spence,Randall,mcloughlin,powell,hitchcock and afobe
MAN UNITED;De gea vermijl,evans,michael kaene,james,janko,Anderson,kagawa,powell,wellbeck,Harnandez
Analia kocha msaidizi ryan giggs akiwa ameshika kichwa akilia kwa uchungu mwishoni mwa mchezo huo,huku kocha louis van gaal akiwa haamini macho yake.
Wachezaji wa mk dons wakishangilia bao lao la kwanza
Grigg akimtungua kipa de gea
Delight;will grigg celebrates after scoring the opening goal of the game,capitalising on an error from man chester united defender jonh evans
Humiliation:Assistant
0 comments: