Thursday, August 28, 2014

ROON NAHODHA MPYA ENGLAND


kocha wa england,roy hodgson amemteua mshambuliaji wa manchester unite wayne rooney kuwa nahodha mpya wa timu hiyo ya taifa.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka28 amechukua mikoba iliyoachwa na kiungo wa liverpool steven gerrerd aliyestaafu.


Roon aliwahi kuvaa kitambaa cha unahodha akiongoza england kwenye mechi ya kufuzu kucheza kombe la dunia dhid ya san marino,octobar 2012
staa huyo amewapiku wachezaji wenzake kipa joe hart na beki gary cahill ambao nao walikua wakitajwa
kuchukua uongozi huo.

0 comments: