Thursday, August 28, 2014

MARIAH CAREY,NICK CANON WABWAGANA BAADA YA MIAKA 6





                                       Mariah careyalipokua mjamzito,
Ile nddoa ya kijana mdoga msanii nick canon(33)na mwana dada ni (shuga mami) mwimbaji mariah carey(44)imefika ukingonibaada ya kudumu kwa muda wa miaka 6




Wanandoa hao wakiwa na watoto wao moroccan na monroe.

Hata hivyomtengano huo umezusha mgogoro wasiwasi mkubwa hususani kwa canon kuhusu hatma ya watoto hao mapacha walio bahatika kuwapata mmoja wa kiume na mwingine wa kike.

carey na canoni enzi ya upendo wao!!
sababu za wasanii hao wanaoish calfonia, marekani bado hazijawekwa wazi

www.todayhabari.blogspot.com

0 comments: