MPENZI AMALIZA STRESS ZA AMANDA
Stori: Gladness Mallya
BAADA ya kusumbuliwa na presha ya kushuka mara kwa mara, iliyosababishwa na stress za kutendwa na wanaume, hatimaye msanii wa filamu Bongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ ametuliza mzuka baada ya kumpata mpenzi mpya anayeishi ughaibuni.

Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ akipozi.
Akipiga stori na gazeti hili majuzi, Amanda alisema ni kweli kwa sasa ana furaha baada ya kumpata mwanaume anayeamini ni muaminifu baada ya watu wake wa zamani kumtenda na hivyo kujikuta…
0 comments: