Wednesday, August 27, 2014

CHID BENZI AKIRI KULIA STUDIO


Stori: Mwandishi Wetu

RAPA mwenye jina kubwa katika Bongo Fleva, Rashid Makwiro maarufu kama Chid Benz, amekiri kutoa machozi wakati wa mahojiano redioni baada ya kupatwa na hisia kali, akikumbuka mambo mbalimbali ya maisha.


Rapa mwenye jina kubwa katika Bongo Fleva, Rashid Makwiro maarufu kama Chid Benz (kushoto) akiwa na 'Diamond'.
“Nilikuwa namzungumzia Diamond, alinikumbusha mambo mengi, ni mchapakazi, anajituma na amejipanga, anajua alikotoka na anathamini alipopitia,…

0 comments: