Wednesday, August 27, 2014

AMAANDA:KWA SASA NINAMPENZI MPYA STRESS NO,



Baada; ya kusumbuliwa na mapresha na kushuka mara kwa mara iliyosababishwa na stress za kutendwa na wanaume,hatimaye msanii wa filamu bongo.Tamrina poshi,`amanda`ametuliza mzuka baada ya kumpata mpenzimpya anaye ishi ughaibuni


Msanii wa filamu bongo,Tamrina poshi,amanda akipozi

Akipiga story na gazeti hili majuzi,amanda alisema ni kweli kwa sasa anafuraha baada ya kumpata mwanaume anayea amini ni mwaminifu baada ya watuwake wa zamani kumtendea na hivyo kujikuta akiwa katika hali mbaya


Kwakweli hivi sasa nipo poa sana,mpenzi wangu anaishi europe na siwezi kumtaja jina wala uraia wake kwa sasa,kwasababu naogopa kuibiwa,pia nataka nifanye saprise kwa mashabiki na marafiki zangu siku ikifika ya utambulisho watamuona ,,alisema.

0 comments: