Wednesday, August 27, 2014

KIJANA AVUA NGUO BAADA YA KUFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO


KIJANA Ben Boleyn aliamua kuvua nguo baada ya kufika kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro nchini chenye joto la kati ya sentigrade 10 hadi 12.


Ben Boleyn akiwa kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Ben alifanya hivyo baada ya kuwekeana dau la shilingi 500 na mwenzake miongoni mwa aliopanda nao mlima huo.…

0 comments: