Monday, October 13, 2014

WEMA SEPETU na Urafiki Na Waliomchukulia Mabwana

Hii nimeitoa INSTAGRAM,
Kama mnavyojua Mwanadada Wema amekutwa na mengi sana kwenye swala la mahusiano…Siunakumbuka wadada kibao walisha mchukulia mabwna zake….kwamfano, Jokate,Penny, Kajala…nk.
Sasa AKAUNTI ya TeamUkweliNauwazi  huko INSTAGRAM imekuja na huyu, Nanukuu; 
Hahah eti hawa nao wamekua mashosti tena hahahaha jamani eti ile team Ma*i mnakumbuka walimtukana weee ooh Ma*i malaya kamchukulia wema ck sijui vikapanda vikashuka mkaweka picha zake Za uch* eeeh week Nzima ilikua Ya huyu minaa jamani hahaha haya Leo eti wamekua mashoga kumkomesha kajala nyie Ma*i kweli mnachuliana mabwana mnagombana kesho mnaongea “….Endelea Kusoma Hapo Chini ..Mie Simo!!! lol


0 comments: