Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni Sio Sehemu Nzuri za Kuchagua Mchumba
Kuna wakati wakina dada wengi
wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti
nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata mke bora ambaye
hajashawishika, kuna kipindi mdogo wangu alitaka mchumba, alihangaika
sana kupata mwenza kwani wanawake wengi wenye mvuto hukaa maeneo
hatarishi ambayo ni Sinza, Magomeni, na Kinondoni, kuna siku tulipata
mchumba maeneo ya kinondoni shamba.
Tunaanza kuchumbia tu tulipewa orodha ya wanawake hatari sana naye akiwemo.
Kwa ufupi wakazi wa Kinondoni shamba wengi wanajuana kwa majina na tabia, kwa kuwa wasichana wengi wamesoma Oysterbay, Mbuyuni, Sekondari kisutu, Kambangwa , Kinondoni musilim.
Hivyo kitabia karibu wanafanana, ukienda magomeni vile vile, tumeamia Bunju tu tukapata mchumba aliyetulia.
Sehemu za wake waliotulia ni Mwenge, Kijitonyama, Kimara, Mbezi juu, mbezi chini , unajua ni kwa nini? wengi wanaishi kwao..Unakubaliana na Mimi Au Unakataa?

0 comments: