Sababu Zitakazo Kufanya Wewe Binti Usiolewe
1. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama
changudoa. sijui ni nani aliyewaambia kuwa
mkivaa hivyo mnapendeza!!!
2. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni
kama mwari wa kimakonde au kizaramo.
mnatutisha tu….
3. Kupenda kujirahisisha au kujipendekeza
pendekeza kwa wanaume. yani ukiguswa
kidogo tu twende…
4. Kuwa na picha karibia 500 facebook,
twitter… halafu picha zenyewe hazieleweki
yani zimepigwa katika mavazi au mapozi ya
ajabu ajabu, mara umebinua makalio, mara
tumbo, mara mdomo!!!
5. Kila unachofanya basi unakimbilia
kupost mfano kwenye facebook account
yako au jf na nyinginezo.
6. Ni mtu wa maneno maneno yani we kila
unachokiona unaongea tu hauna break!!
mwanamke gani??
7. Huna mawazo ya malengo endelevu
yani we kwenye bichwa lako kumejaa umbea
tu…sijui leo wema sepetu amefanya nini?
sijui kim, lupita amefanya vile na upuuzi
mwingine!
8. Mizinga. Yani siku ya pili tu baada ya
kukutongoza unaanza ” honey nataka
galaxy” me babako
0 comments: