Mjumbe wa Bunge la Katiba alia Hadharani Kujulisha Umma Hajapiga kura Bungeni wala Hakuwepo
Nimechek Itv Nimeona Aliekuwa Mjumbe 
Wa Bunge la Katiba Akiangua Kilio Kupinga Uchakachuaji Aliofanyiwa Na 
Akina Sita Kwamba Alipiga Kura Ya Kupitisha Iyo Katiba Pendekezwa. 
Nafatilia Nijue Jina Lake.. Anaiwa Haji Omar Khamis. Ni Makamu Mwenyeki 
Wa Nccr Mageuzi Zanzibar. Amesisiza Yeye Hakushiriki Kwenye Bmk Na Wala 
Kujadiri Au Kupiga Kura, Lakini Jina Lake Limeandikwa Kwenye Katiba 
Pendekezwa Kuwa Ni Miongoni Mwa Wajumbe Walioshiriki Kuipitisha. 
Nimemuonea Huruma Sana, Maana Amepandwa Na Presha Na Kukimbizwa 
Hospitali.
0 comments: