HALIMA MDEE NA WENZAKE WAENDELEA KUSOTA RUMANDE
Watu hao walifunguliwla mashitaka mahakamani hapo kwa madai ya kutotii amri ya polisi na kufanya maandamano bila kibali. Uhakiki wa dhamana wa watuhumiwa hao utafanywa leo.
(HABARI/PICHA NA: DENIS MTIMA NA DEOGRATIAS MONGELA/GPL)
0 comments: