Bendera ya Kenya Yapepea Pemba
Haya wadau jipya hilo wakazi wa Pemba
sasa ameanza kupeperusha bendera ya Kenya hii ikiashiria kuwa wapo
tayari kuwa sehemu ya Kenya ,bendera hizo zimeonekana zikipepea juu ya
Miti mkubwa ikiwemo miembe na minazi’
Bendera hizo zimeonekana sehemu za Mkoani ,Chake na Konde ikiwemo Wete ,vyombo husika vimegoma kuipanda miti hiyo na kupachua bendera hizo wakiogopa mambo ya kishirikina.
Sasa haijulikani kama hii ni njia mbadala ya kisiwa hicho kuendeleza madai ya kujitenga au ni hasira za kuchakachuliwa theluthi za Zanzibar huko Dodoma.

0 comments: