Ajali mbaya imetokea maeneo ya Hedaru ambayo imehusisha basi la Pleased State na gari ndogo na kuua watu wawili papo hapo.
Waliofariki dunia ni waliokuwa kwenye gari ndogo ambapo inasemekana kuwa walikuwa wakitokea mjini Moshi kwenye harusi wakielekea Dar
Abiria wa basi la Pleased State wakisaidia kuwatoa
waliofariki dunia
0 comments: