Sunday, September 14, 2014

WADADA TUWENI MAKINI NA VYUMBA VYA KUJARIBISHIA NGUO



Wadada Tuweni Makini Sana na Vyumba vya Kujaribia Nguo Madukani, Huyu Alipigwa Picha Bila Kujua Akijaribu Nguo Dukani , Udaku Specially tumepewa siri kuwa huwa kuna kamera za siri zinafichwa kwa baadhi ya Maduka yenye tabia mbaya na kuchukua picha kwa siri..So kuweni Makini Wakina Dada
                                                       www.2dayhabari.blogspot.com

0 comments: