UCHAGUZI MKUU CHADEMA WAANZA JIJINI DAR
Viongozi wa Chadema wakati wakiwasili katika uchaguzi mkuu wa Chadema.
Wajumbe wa Chadema wakiwa ndani ya Ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya uchaguzi mkuu.
(Picha zote na Chadema)
UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa
kumpata mwenyekiti na makamu wenyeviti wake watakaokiongoza chama hicho
kwa miaka mitano umeanza katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es
Salaam
0 comments: