SIPENDI WATU WANAVYO NAMBIA ETI NINAA MAKALIO FAKE,ETI MCHINA WAKATI NIMEBARIKIWA
Admin , Sipendi Jinsi watu
wanavyonisema kila nipitapo eti makalio yangu ya Mchina wakati mimi
nimezaliwa hivyo hivyo toka nikiwa mdogo makalio yangu yalikuwa makubwa ,
kama unabisha uliza hata nilio soma nao shule ya msingi , Ki kweli
sipendi hiyo tabia ya watu kila wakiona mtu amejaliwa basi eti ni fake
wengine tumezaliwa hivyo jamani ..Khhaaaa
www.2dayhari.blogspot.com
www.2dayhari.blogspot.com
0 comments: