Sunday, September 14, 2014

Sijawahi Kuridhishwa Kimapenzi ( kufikishwa kileleni) na Mwanaume Yeyote Tangu Nianze Mapenzi”…Efranciya Mangi

Msanii wa Bongo Movies Anayeongoza kwa kuwa na Umbo Kubwa Kati ya Wasanii wa Kike Hapa Bongo Ameibuka na Kusema kuwa Hajawahi pata mwanaume akamrizisha kimapenzi au kufikishwa kileleni toka aanze mapenzi , Amesema mpaka sasa aamini kama itakuja kutokea kwake .
Msanii huyo mwenye mtoto mmoja aliibukia kwenye Mashindano ya Maisha Plus na kujizolea umaarufu Mkubwa.

0 comments: