Sunday, September 14, 2014

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA SUDAN KUSINI SALVAR KIIR JIJINI DAR


Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudan Kusini ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea jana Jumamosi Septemba 14, mwaka huu Ikulu jijini Dar es Salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma. (PICHA NA IKULU)…


Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudan Kusini ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea jana Jumamosi Septemba 14, mwaka huu Ikulu jijini Dar es Salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma. (PICHA NA IKULU)

0 comments: