MAN U ACHA SHETANI LAZINDUKA LAUA 4 SIFURI
MAN U ACHA SHETANI LAZIND
- United imeshindaa mechi ya kwanza ikiwa na Van Gaal reign
- Mchezaji wa mkopo Falcao Aanzia kwenye Benchi
- Di Maria na Herrera wamefunga magoli yao kwanza Leo
Manchester
United imepata ushindi wa kwanza katika msimu huu na kuifunga timu ya
QPR iliyoonekana kuwa dhaifu katika Dimba la Ancient Trafford.
Mchezaji aliysajiriwa kwa Bei mbaya zaidi Angel di Maria alioneka
kuwa mchezaji bora zaidi katika mechi hiyo pale alipopiga mpira wa
adhabu Ndogo na kwenda mbali kidogo kwenye kona .
Ander Herrera alifunga katika dakika ya 36 na baadae rooney akafunga kablaya kwenda mapumziko .
Juan Mata naye aliipatia United goli la Tatu kabla ya akipokea pass
kutoka kwa Di Maria’s Radamel Falcao Aliingia kipindi cha katika dakika
ya 67.
Mpaka mpira unakwisha Man u imeibamiza QPR goli nne bila na Di maria amekuwa Man of Match
free website counter
www.2dayhabari.blogspot.com
0 comments: