Tuesday, September 30, 2014

Ninaachika Kila Mara Kwasababu ya Msimamo Wangu wa Kutokufanya Mapenzi Mpaka Siku ya Ndoa..Ushauri Pliz

Mpenzi wangu ambaye nimedumu naye kwa mwaka mmoja leo amenitamkia kuwa hawezi kuendelea kuwa na uhusiano na mimi, amesema ameshndwa kuvumilia kuwa na mpenz bila kufanya S3X.

Amesema hawezi kunifanya pambo awe ananiangalia tu, lakn wakat tunaanza uhusiano alinikubalia kuwa hatufanya S3X mpaka tukifunga ndoa lakini leo amenigeuka. Nimelia saaana toka asubuh mpk asahv lakn naona haina maana, NAOMBEN ushaur wenu jaman nimrudie nikubal kuS3X nae au? 

Manake mpaka leo tayari nimeshaachika kwa wanaume kama wanne yote chanzo ni S3X, sasa nitaachika mpaka lini? Manake inavyoonyesha ni kwamba wanaume hawawezi kukaa na mwanamke bila ku-s3x kama atakwambia yupo tayari kukaa na wewe hivyohivyo huwa wanakuwa na wanawake wengine wa nje wanao s3x nao.

Nilishaurini jamani, nimwambie nipo tayari ku-s3x nae au niachane nae tu? Ukweli nampenda sana .

0 comments: