MOURINHO: COSTA HAWEZI KUCHEZA MECHI TATU KWA WIKI
KOCHA Jose Mourinho amesema kwamba Diego Costa
hawezi kucheza mechi tatu kwa wiki Chelsea kwa sababu ya maumivu ya
nyama aliyoyapata akiitumikia timu yake ya taifa, Hispania.
Costa, amefunga mabao saba katika mechi nne za awali Chelsea,…
KOCHA Jose Mourinho amesema kwamba Diego Costa hawezi kucheza mechi tatu kwa wiki Chelsea kwa sababu ya maumivu ya nyama aliyoyapata akiitumikia timu yake ya taifa, Hispania.
Costa, amefunga mabao saba katika mechi nne za awali Chelsea, alilazimika kuanzia benchi katika mchezo wa sare ya 1-1 na Schalke Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana na kuingia kipindi cha pili dakika ya 74.
Pamoja na hayo, Mourinho hakuwa na malalamiko coyote kwa Hispania zaidi ya kusema na wao pia wanamhudumia vizuri mshambuliaji huyo juu matatizo yake ya misuli yanayomkabili.

0 comments: