MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la
ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa
maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa
kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua mkutano wa wadau wa Maendeleo,maafisa wa…
Mkurugenzi
Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa
washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa
serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu
Nyerere jijini DSM.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua mkutano wa wadau wa
Maendeleo,maafisa wa Serikali na watendaji wa TASAF uliofanya mapitio ya
Mpango wa kunusuru kaya maskini uliofanyika kwenye Ukumbi kimataifa wa
Nyerere Jijini DSM. Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais Peter Ilomo (aliyeketi katikati) akiwa na viongozi
wengine Katika meza kuu wakifuatilia maelezo ya Mkurgenzi Mtendaji wa
TASAF ,Bw. Ladislaus Mwamanga (hayupo pichani) wakati wa ufungzi wa
Mkutano wa mapitio ya Mpango wa Kunusuru kaya maskini uliofanyika jijini
DSM. Wakurugenzi
wa TASAF Bw.Amedeus Kamagenge wa kwanza mbele na Fariji Mishael wa
pili wakifuatilia mjadala wa mapitio ya Mpango wa Kunusuru kaya maskini
kati ya wadau wa maendeleo,maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF
kwenye ukumbi wa kimataifa wa MWL Jk Nyerere jijini DSM. Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa wadau wa maendeleo na wale wa serikali na
TASAF wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano uliojadili maendeleo ya
utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini PSSN. Washiriki
wa Mkutano wa Wadau wa Maendeleo, maafisa wa serikali na TASAF wakiwa
katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa mkutano huo kwenye ukmbi wa
miktrano wa Mwalim Nyerere jijini DSM.
0 comments: