Mchungaji Aliyewalisha Waumini Majani Aja na Mpya..Sasa Awaponya Wagonjwa kwa Kuwakanyaga Kanyaga
Yule Pastor Mwenye Vituko Vingi
Kutoka South Afrika anayejulikana kwa jina la Lesego Daniel amekuja na
Mpya baada ya kuwalisha majani waumini na kubadilisha petrol kuwa Juice
ya Apple , Sasa eti anawaponya Waumini wake ambao wanasumbuliwa na
magonjwa kwa kuwakanyaga migongoni…Angali Picha Hapo Juu
0 comments: