MANCHESTER UNITED 4-0 QPR
Mpira uliopigwa na Angel di Maria ukijaa nyavuni na kuifanya Man Utd kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya QPR.
Mpira uliopigwa na Angel di Maria ukijaa nyavuni na kuifanya Man Utd kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya QPR.
Manchester United wakishangilia bao lao la tatu lililofungwa na nahodha wao Wayne Rooney.
Manchester United wanaongoza kwa mabao 4-0
dhidi ya QPR katika mechi ya Ligi Kuu England inayopigwa Uwanja wa Old
Trafford, jijini Manchester.
Mabao ya Man United yamefungwa na Angel di Maria, Ander Herrera, Wayne Rooney na Juan Mata.VIKOSI:
Man Utd: De Gea, Rafael, Evans, Rojo, Blackett, Blind, Herrera, Mata, Di Maria, Rooney, Van Persie
Walio benchi: Lindegaard, Shaw, Fletcher, Januzaj, Valencia, A Pereira, Falcao
QPR: Green, Isla, Ferdinand, Caulker, Hill, Sandro, Kranjcar, Fer, Phillips, Austin, Hoilett
Walio benchi: McCarthy, Traore, Onuoha, Henry, Vargas, Zamora, Taarabt
www.2dayhabari.blogspot.com
0 comments: