LECEISTER YALIMALIZA SHETANI MCHANA KWEUPE
United
walionekana washashinda mchezo pale Robin van Persie alipofunga goli
kwa kichwa na Angel Di Maria alipochop mpira na kuifanya manchester
united iongoze katika mchezo huo .
Leonardo Ulloa’s alifunga goli kwa kichwa kupunguza idadi ya magoli
lakini goli la kisigino la Ander Herrera’s liliipa uongozi zaidi
United’s .
Lakini Leicester’s walijikaza na kurejesha magoli hayo kupitia kwa
David Nugent aliyefungwa kwa Penati na Esteban Cambiasso na baadae
jamie Vardy na penati ya a Ulloa ikawapatia ushindi Leceister city
0 comments: