KOMEDDIAN JOAN RIVER AFARIK
Marehemu joan river enzi za uhai wake
Komedian maarufu nchini marekani,joaan rivers amefariki dunia jana akiwa na miaka 81 baada ya kusumbuliwa na maradhi ya moyo
Binti wa marehemu aitwae melissa rivers
Joan rivers amefariki katika hospital ya manhattan,nchini marekani taarifa iliyotolewa na binti wa marehemu aitwae melissa rivers alisema mamayake alifariki dunia kwa amani akiwa amezungukwa na familia yake.
Picha ya mwisho aliyopingwa stejini marehemu joan,agost 27 mwaka huu
Mazishi ya legendary huyo katika vichekesho yanatarajiwa kufanyika jumapili hii september saba mwaka huu
0 comments: