Kenya Yapaa Kiuchumi na Kuwa Katika Nchi za Uchumi wa Kati
Kenya imezidi kuimarika ki uchumi na
kujikuta inahama kutoka nchi maskini na kuwekwa kundi la nchi zenye
uchumi wa kati duniani na hivo kujikuta inakuwa miongoni mwa nchi 4
zenye uchumi imara kusini mwa jangwa la sahara.
0 comments: