Kenya Kuipeleka Tanzania ICC, yadai Kisiwa cha Pemba Zanzibar ni Chake
Serikali ya Kenya inajiandaa kwenda Mahakamani kudai kisiwa cha Pemba
ni chake, hii imekuja baada ya Somalia kuifungulia kesi Kenya ikidai
eneo la ufikwe karibu lote nchini Kenya ni lake.
0 comments: