Kama mpenzi wako ana ndoto za kuwa muigizaji wa filamu za hapa Tanzania, huenda ukabadilisha mawazo yako ukiona video hii ya Irene Uwoya na Single Mtambalike aka Rich wakibadilishana mate kwenye scene ya filamu yao mpya.
Kama mpenzi wako ana ndoto za kuwa
muigizaji wa filamu za hapa Tanzania, huenda ukabadilisha mawazo yako
ukiona video hii ya Irene Uwoya na Single Mtambalike aka Rich
wakibadilishana mate kwenye scene ya filamu yao mpya.
0 comments: