DINA:ZITTO NI MUMEWANGU

Mtangazaji wa kipind cha ala za roho loveness malinzi'DIVA'akipozi
Mtangazaji wa kipindi cha ala za roho kinacho rushwa kupitia radio ya clouds FM ya jijini dar,.loveness malinzi 'DIVA'kwa mara ya kwanza amejilipua kwa kusema kua, uhusiano wake na zitto kabwe ulikua wa mume namke
Katika mahojiano na mwanahabari wetu jijini dar juzi,DIVA alisema anashangazwa na baadhi ya vyombo vya habari(siyo vya 2dayhabari)kumnyima uhuru kuongelea suala lake,wakati kisheria yeye ni mke wake anapaswa kuzungumzia kuhusu kutengana kwao
MSIKIE DIVA
Ninyi mnaongelea maswala ya zitto na mm juu kwa juu hamjui kama mimi na zitto tumeishi kama mke na mume nyumbani kwake masaki(dar)sasa nini kinasababisha penzi letu kuvunjika,watu hawajui nina ushahidi wa kutosha lakini watu wanaongeongea tu.Alisema DIVA akiongeza kwa kusema kuwa,,sasa kwa sheria ninavyo jua mimi kwa sheria za nchi,Mwanamke na mwanaume wakiishi kwa zaidi ya miezi sita(6)tayari ni mke na mume,Hawezi kuniacha kirahisi tu.
VIPINDI VYAZUA BALAA
Diva alikwenda mbele zaidi kufuatilia kauli ya zitto alivyo itoa hivi karibuni kupitia kipindi cha mkasi kinachorushwa hewani na runinga ya EAST AFRICA na mtangazaji salama jabiri. Zitto aliulizwa anauhusiano gani na DIVA Zitto akajibu ni mtuu tunaye fahamiana tu lakini sio mpenzi wake.
MHESHIMIWA ZITTO KABWE AKIWA KAZINI
HASIRA ZA DIVA
Ilidaiwa kuwa majibu hayo ya ztto kwa sala ndiyo yaliyo ibua hasira ya diva hadi kufikia kutupia kwenye ukurasa wake wa istagram e-mail aliyowahi kutumiwa nazitto akimtaka asiwe anaweka watu wazi kwasababu atachafuka kisiasa
E-mail ilivyokua inasomeka
Unanikosea sana unapoweka mamboyetu hadharani ninaonekana siwezi kua kiongo kwasababu siwezi kuhendle masuala yangu binafsi.
Madhara uliyoyafanya ni makubwa sana.Wapinzani wangu wa kisiasa watayatumia sana dhidi yangu ungekua unajua madhhara uliyo yafanya usingethubutu kufanya uliyoyafanya ulivyofanya mara tatu sasa sijui nia yako nini?Ila iposiku utajua umenikosea sansana.
SWALI LA MWANDISHI
Je?zitto akikubali kufuata huo utaratibu uwe mkewe utamuacha GK ambaye umekua ukimtangaza kuwa mpenzi wako
Diva:hilo nitakujibu baadae!
SIKU ZA KARIBUNI
Siku za karibuni baadhi ya vyombo vya habari vimekua vikiripo kuhusu uhusiano wa zitto na DIVA bila kuzama kwa undani
0 comments: