WASANII WETU NA PICHA ZA AJABU
Baadhi ya picha za mastaa wa Bongo katika mikao tofauti ambayo kimsingi inanyemelea kwenda kinyume na maadili ya kitanzania. Bado wasanii wetu wanakabiliwa na changamoto kubwa ya namna ya kudhibiti masuala yao binafsi. Wasanii wengi bado wanatumia mbinu za kizamani za kuuvuta umaarufu kwa kutumia skendo ambazo baadae huwadhalilisha pasipo kuwa na sababu za kufanya hivyo.
Wasanii wetu wengi hawana uelewa wa kutosha na teknolojia ya sasa. Wanapiga picha, wanajirekodi hata mambo ya faragha na mwisho wake huwa mbaya hasa pale picha na maudhui ya picha hizo zinapovuja na kuifikia jamii ambayo huishia kuwalaumu wasanii kwa kushindwa kuwa mfano kwa jamii inayowatazama
Timu ya Blog hii imepokea picha zaidi ya 1000 za wasanii wa kitanzania na zipo katika hatua ya uhalili ili kupunguza ukali wa picha hizo kwa macho ya wapenzi wa blog hii. Picha nyingi zilizotumwa zimetumwa na watu wanaoshirikiana na wasanii hao kupiga picha hizo. Muda si mrefu zitaanza kuonekana kupitia Blog hii. Lengo la kufanya hivyo ni kufikisha ujumbe kwa jamii na waote wanaoiga mtindo huo madhara ya kupiga picha za ovyo na kushindwa kuzidhibitisha
ant ezekiel
mery john
0 comments: