WANANCHI WANAPOAMUA KUWEKA ALAMA ZA HATARI BARABARANI
KUTOKANA na kutokuwepo vifaa maalum vya barabarani pindi panapotokea matatizo, watumiaji wa barabara ipitishayo magari ya kwenda stendi ya Makumbusho hadi Kariakoo, kupitia Sinza, jijini Dar, wameamua kuweka alama ya mti baada ya chemba moja ya maji machafu iliyopo katikati ya barabara kuwa wazi kwa muda mrefu pasipo kuwa na alama maalum.
Na Gabriel Ng’osha/GPL
Hii ndiyo alama ya mti iliyowekwa na watumiaji wa barabara ya Kariakoo-Sinza.

0 comments: