Wednesday, August 27, 2014

VIONGOZI WA TAKUKURU WAKUTANA KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU uliofanyika katika ukumbi wa Kuringe.


 Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dk Edward Hosea akizungumza wakati wa Mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU…

0 comments: